Morogoro, Tanzania
Mon - Sunday : 08.00 AM - 07.00 PM
+255 697 787 433
Driver Registration
Usajili kamili wa madereva na nyaraka muhimu
Employer Dashboard
Waajiri kusimamia na kuhakiki madereva kwa urahisi
Verification
Uhakiki wa taarifa kwa usalama na uaminifu
About ADTAN

Mfumo wa Kidijitali wa Madereva na Waajiri

ADTAN ni mfumo wa kidijitali unaowawezesha madereva kujisajili na kupata ajira kupitia waajiri walioko kwenye mfumo. Madereva wanapitia verification ya nyaraka na historia ya ajira ili kuhakikisha uaminifu na usalama.

Kwa upande wa waajiri, ADTAN inarahisisha kutafuta, kuajiri, na kufuatilia madereva waliopo kwenye mfumo kwa realtime. Ripoti na tracking zinapatikana kwa wakati halisi ili kusaidia maamuzi sahihi.

Our Services

Huduma Kuu za Mfumo wa ADTAN

Service
Driver Registration

Usajili wa madereva kwa njia ya kidijitali pamoja na taarifa binafsi na nyaraka muhimu.

Service
Employer Management

Waajiri wanaweza kuona, kuchuja na kuhakiki madereva kulingana na mahitaji yao.

Service
Verification & Reports

Uhakiki wa nyaraka, leseni na ripoti za madereva kwa usalama na uaminifu.

Make Appointment

Why Choose ADTAN!

Your Trusted Driving & Employer Platform

ADTAN inatoa huduma bora za usajili na verification ya madereva na waajiri, kuhakikisha usalama, uaminifu na kurahisisha tracking kwa mfumo wa kidijitali.

Trusted & Verified
Tuna hakikisha madereva na waajiri wote wanapitia verification ya usalama.
24/7 Support
Huduma za msaada zinapatikana muda wote kwa madereva na waajiri.
Secure & Safe
Taarifa zote za madereva na waajiri zinahifadhiwa kwa usalama.
Easy To Use
Mfumo rahisi wa kutumia, unaowezesha kudhibiti madereva na maappointment.
Testimonial

What Our Users Say!