ADTAN ni mfumo wa kidijitali unaowawezesha madereva kujisajili na kupata ajira kupitia waajiri walioko kwenye mfumo. Madereva wanapitia verification ya nyaraka na historia ya ajira ili kuhakikisha uaminifu na usalama.
Kwa upande wa waajiri, ADTAN inarahisisha kutafuta, kuajiri, na kufuatilia madereva waliopo kwenye mfumo kwa realtime. Ripoti na tracking zinapatikana kwa wakati halisi ili kusaidia maamuzi sahihi.
ADTAN ni mfumo wa kuaminika unaorahisisha ajira za madereva kwa kuwaunganisha moja kwa moja na waajiri waliothibitishwa kwa njia salama na ya kisasa.
“ADTAN imenifanya niwe rahisi kuajiri madereva waliosajiliwa tayari. Sasa ninaweza kupata madereva wa kuaminika kwa haraka na bila matatizo.”
“Kama dereva, nimejisajili kwenye ADTAN ili kupata ajira. Mfumo unarahisisha kuonekana kwa waajiri, na nimepata kazi haraka.”
“Kupitia ADTAN, ninaweza kuona profiles za madereva waliosajiliwa na kuchagua waafaa kwa kazi zangu. Hii inarahisisha usimamizi wa timu.”